Maneno ya Diamond Platnumz kwenye penzi la harmonize na Wolper (+Video)

Moja kati ya couples zinazoongelewa sana kwenye mitandao ya kijamii huwezi kuacha kulitaja penzi la mastaa wawili kutoka kiwanda cha Bongomovie (Jackline Wolper) na kutoka kiwanda Bongoflevani (Hamonizer) leo October 22 2016 Diamond Platnumz amble ni C.E.O wa lebel ya WCB ametoa comment yake kuhusu mapenzi ya msanii wake na mrembo Jackline Wolper.
Sisi kama WCB tuna simamia kazi za Harmonizer muziki wake na brand yake laking ukija kwenye mahusiano yake anajisamima mwenyewe, na huwezi kumkataza mtu kwa sababu kila binadamu anamahamuzi yake katika mahusiano sisi tunachoangalia ni kuwa anaheshimu muda wa kazi, lakini maswala ya mahusiano nadhani yeye anajua anachokifanya‘>>>>Diamond Platnumz
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment