VIDEO: Jikumbushe magoli 10 bora ya tiki-taka

Moja kati ya stahili au njia ngumu ya kufunga goli katika soka ni stahili ya upigaji tiki-taka, sio tu ufundi bali inahitaji umakini mkubwa wa kufunga kwa stahili hiyo pasipo kukuletea madhara kama ya kuumia na kuvunjika kiungo cha mwili wako, ila hatari ya stahili hiyo inafanya magoli ya aina hiyo kuwa na mvuto kuyatazama.
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment