Muonekano wa Ndege ya Pili ya Air Tanzania Tayari Kwa Kuja Nyumbani
Huu
ndio muonekano wa ndege ya pili ya Air Tanzania tayari kwa kuja huko
nyumbani Tanzania. Ndege hii iliyopewa Reg # ya C-FHNF aina ya
Dash8-Q400 ipo katika maandalizi ya mwishomwisho kuweza kuletwa
Tanzania. Ndege hizi mbili mpya mali ya ATCL zinategemewa kufika Tanzania kati ya September 15 na Sepetember 19 2016.
0 comments:
Post a Comment