Kundi la muziki la Sauti
Sol kutoka nchini Kenya limezidi kufanya vizuri katika tasnia ya muziki
barani Afrika na nje ya Afrika. Hapa chini ni video ya wimbo wa ‘Kuliko
Jana’ iliyotoka Septemba 12, 2016.
- Facebook Comment
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment