Muimbaji huyo alikata keki mbele ya wasanii wake wa WCB huku akiwaacha midomo wazi mashabiki wake wa kwenye mitandao jamii kwa kitendo cha kusherekea birthday hiyo huku akiwa na nguo ya ndani ‘boxer’ akidai alikuwa anaogopa kumwagiwa maji.
Pia mastaa mbalimbali walimtumia salamu za heri na baraka staa huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Salome’.
Rich Mavoko
Happy Birthday Big Nna Zawadi Yako Ya Gari Lakini La Udongo ππ So Wambie Hao Wanaokumwagia Maji Nikilileta Waache Kwanza
Harmonize
Happy birthday my brother #simbaa nikisema niandike mengi sitomaliza ila unajuwa vyenye nakuzimia na na kukuheshimu….πππ maisha marefu furahiya siku yako ππ₯π₯
Rayvanny
Jus me and birthday boy @diamondplatnumz Bigie Mungu Akupe Maisha Marefu ndugu yangu maana ukinasa hatunasuliki mwiiiiiiiiingiiiiiiiii wa materials enjoy your day
0 comments:
Post a Comment