Meek Mill ameonyesha bado ana bifu na Drake na The Game – amewachana kwenye freestyle ya dakika saba.
Japo wiki iliyopita rapper The Game alipohojiwa kwenye kipindi cha ‘The Wendy Williams Show’ alidai bifu lake na Meek ni dogo na alimuomba Nicki Minaj kwa kumuingiza kwenye ugomvi huo lakini moto umeonekana kuzidi kuwaka.
Rapper Meek Mill amewachana wasanii hao wiki hii kwenye kipindi cha Freestyle for Funkmaster Flex cha Hot 97. “Posted up with Nicki,” amerap Meek. “That’s when it get tricky / Ni**as in they feelings, that’s when it get Drizzy / Speaking on the Chasers, we definitely get busy / We get money, stay 100, we don’t ever keep it 50.”
“Don’t co-sign no rats over here, my G. Only scopes on them straps over here, my G / Lotta security with badges over there, I see / You brought the law with you / I brought the hitters with me.” Lakini rappper huyo amempa heshima Dj Khaled kwa kusema, “Special club Hollywood a shoutout this Dj Kahaled.”
Tazama hapo chini Meek Mill akifreestyle.
0 comments:
Post a Comment