TBT: Picha za mastaa VeeMoney, IdrissSultan, Rayvanny na wengine…


Neno tbt (Throw back Thursday) limejipatia umaarufu kupitia mtandao wa Instagram ambapo watu hutumia siku ya alhamis kuposti matukio yaliyojiri kipindi cha nyuma. Leo nimekusogezea picha za baadhi ya mastaa wa bongo walizopiga miaka iliyopita, akiwemo Vanessa Mdee, Idriss Sultan, Rayvanny, Damian Soul na Rammy Galis.

Vanessa Mdee

Idriss Sultan 2007

Barnaba na mama mtoto wake ( Mama Steve)

Rammy Galis akiwa na miaka 3

Raymond (Rayvanny) kwenye tamasha la Fiesta aliposhinda kama Super nyota 2011

Damian Soul akiwa Bungu Sekondari Korogwe Tanga 2003
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment