Walichofanyiana SHILOLE Kiuno na Nuh Mziwanda Walipokutana Kwenye Basi la Fiesta

Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa kwenye kipindi cha tv clouds na wamekuwa wakipigana majungu mitandaoni.

Lakini walipokutana kwenye basi Shilole alimuambia Nuh Mziwanda yaishe na kumwambia yupo kwa ajili yake na kumwagia mabusu mazito, pengine watarudiana. Angalia:
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment