Picha Ya Mwimbaji Ben Pol na Snura Wakipigana Mabusu Porini Yazua Maswali

New couple in Town ndio naweza kusema kulingana na picha hiyo hapo juu ambayo inazunguka mtaani huku wengi wakijiuliza maswali kama ni kweli ama la...? Ikumbukwe Snura alishawahi kuandika na kukiri kuwa kuna Mwanamuziki mmoja wa Bongo Flava anamzimia kishenzi lakini hakumtaja jina...Sasa jibu limepatikana baada ya wawili hao kuonyesha picha wakidendeka bila chenga....
Soma Baadhi ya Comment za Mashabiki
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment