AudioMPYA: Vanessa Mdee Na Jux wametuletea hii single yao mpya

Miongoni mwa mastar wa Tanzania wanaofanya Bongo Fleva ambao wana mashabiki wengi wa kike ni pamoja na Jux & Vanessa Mdee inawezekana labda aina ya muziki wanaoufanya kuwagusa wasichana wengi.
Sasa mastaa hao wawili wanazimiliki leo October 5, 2016 ambapo wameachia single yao mpya iitwayo Juu iliyotayarishwa na producer Lufa katika studio za Switcher Records.
Unaweza ukabonyeza HAPA kuusikiliza wimbo huo mpya
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment