Christian BELLA Atangaza Kutoa Laki Moja Kwa Shabiki Atakayeweza Kufanya Hivi...

King of the Best Melodies Christian Bella leo ndani ya P anatoa Deal exclusive kwako wewe shabiki wake ambaye utaweza kugundua vitu flani flani katika remix ya Ukimwona.
Wewe si shabiki mzuri wa ngoma za Christian Bella, huu mchongo unakuhusu sana, sasa kama utaweza kugundua vitu flani flani hivi katika “Ukimwona Remix” aliyoifanya baada ya Ukimwona ya Diamond basi huu mchongo lazima ukudondokee.

Akiongea na Perfect255, Bella alifunguka katikati ya mazungumzo yake alipokuwa anaongelea juu ya maswala ya uhalali wa wasanii kurudia ngoma za wasanii wengine waliowahi kufanya vizuri au wanaoendelea kufanya vizuri katika Game ya Bongo fleva ndipo akaamua kutoa fursa hiyo kwa mashabiki wake kugundua vitu ambavyo vinapatikana katika ngoma yake ya “Ukimwona Remix”
Msikilize hapa.
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment