Usiku wa Jumamosi ya October 22 2016 Johannesburg Afrika Kusini ndio siku ambayo zilitolewa rasmi tuzo za MTV Mama 2016 kwa wasanii waliofanya vizuri kwa mwaka 2016.Hapa nimekusogezea video ya msanii wa Nigeria Yemi Alade akipokea tuzo ya Best Female aliyokuwa akiwaniwa na mtanzania Vanessa Mdee.
Unaweza ukabonyeza play ujionee jinsi Yemi Alade alivyotangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Best Female
0 comments:
Post a Comment