Kauli ya Prof LIPUMBA kuhusu nafasi yake CUF

Licha ya headlines za migogoro ya chama cha siasa CUF kuendelea kutawala kufuatia chama hicho kutangaza kuwavua uanachama baadhi ya wanachama wake akiwemo Profesa Ibrahim Lipumba leo September 30 2016 Lipumba amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kusisitiza kuwa yeye bado ni mwenyekitihalali wa CUF na haoni wasiwasi wa kuendelea kukaa kwenye ofisi za chama hicho.
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment