Majibu ya Mtangazaji Diva kuhusu aina ya picha tata ambazo amekuwa akipost

Baada ya Mtangazaji Diva wa Clouds FM kupost picha kwenye mtandao ambazo zilileta utata kwa mashabiki zake, mtangazaji huyo kupitia U HEARD ya Clouds FM amezitaja sababu za kwa nini amekuwa akifanya hivyoa hivyo.

Soudy Brown amezungumza na Diva kuhusu picha ambazo amekuwa akizipost, Diva amesema hayo ndiyo maisha yake halisi na pia ana project yake mpya ya biashara ya nguo za ndani kwa wanawake na wanaume hivyo haoni kama kuna tatizo……..
>>>Hayo ni maisha yangu, huyo ndio mimi wanavyoniona ndio ninavyoishi nguo zangu hizo nusu mapaja nje ndo mimi nnavyotaka, sitaki kutengeneza mjadala wowote, mimi sijali watu wanasema nini au wanakerwa wajali maisha yao, kama wananipenda wanipende tu vile nilivyo ndio ninavyovaa kila siku.:- Diva

Msikilize Hapa chini
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment