Mara baada ya Zarina mwana wa Hassan kupost ujumbe wenye utata kuhusu watu wanaomnyatia nyatia poozo lake la moyo Chibu dangote ambao ujumbe huo kwa namna nyingine ulionekana kumgusa Huddah Monroe kwa kuwa Huddah ana tabia hizo za kunyatia wapenzi wa wanawake wenzake.
Huddah naye hakutaka hili lipite hivi hivi aliamua kumkashifu Zari kwa kuandika katika ukurasa wake wa instagram kuwa yeye hana muda wa kugombana na watu ambao wana umri sawa na mama yake kwenye mitandao ya kijamii, bali yeye yupo busy na biashara zake zinazomuingizia kipato
Huddah si kwa chambo hili takatifu hehe
0 comments:
Post a Comment