New Music: Davido – Gbagbe Oshi

Baada ya kimya cha takribani mwaka mmoja bila ya kuachia wimbo mpya, muimbaji wa Nigeria, Davido ameachia wimbo wake mpya ‘Gbagbe Oshi’ ambao utapatikana kwenye albamu yake ya ‘Son of Mercy’ inayotarajiwa kuanza kupatika kwa pre order Ijumaa hii. Sikiliza hapa chini.
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment