Akiongea na Dj Haazu, Malaika amedai kuwa licha ya Chege kuwa si mtu anayewasiliana kila mara kwa sasa, bado anaweza kuhitaji msaada wowote pale anapokwama kimuziki.
Mtoto Mzuri MALAIKA Aanika Siri Zake Na CHEGE CHIGUNDA.... Walishawahi Kutoka Kimapenzi?
Pindi msanii wa kike anaposhirikishwa au kumshirikisha msanii wa kiume, minong’ono ya kuwa huenda wakawa wapenzi mara nyingi hutokea.
Ndicho watu walianza kukifiria baada ya Malaika kushirikishwa na Chege Chigunda kwenye Uswazi Take Away. Hata hivyo muimbaji huyo wa Rarua, amedai kuwa Chege ni kaka yake tu hakuwahi kuwa mpenzi wake.
Akiongea na Dj Haazu, Malaika amedai kuwa licha ya Chege kuwa si mtu anayewasiliana kila mara kwa sasa, bado anaweza kuhitaji msaada wowote pale anapokwama kimuziki.
Akiongea na Dj Haazu, Malaika amedai kuwa licha ya Chege kuwa si mtu anayewasiliana kila mara kwa sasa, bado anaweza kuhitaji msaada wowote pale anapokwama kimuziki.
0 comments:
Post a Comment