VIDEO: Ushamba wa Adam Mchomvu wa Clouds FM baada ya kuingia bungeni mara ya kwanza!

Najua ukiambiwa utaje majina ya watangazaji kumi wa radio Tanzania wenye ushawishi mkubwa hakika jina la Adam Mchomvu linaweza kuwa ni moja wapo, yes… achilia mbali uwezo wake wa kutangaza lakini pia amekuwa ni kati ya watanzania wenye vipaji vya kuchekesha kupitia matamshi yake.

September 16 2016 watumishi wa Clouds media pamoja na baadhi ya wasanii wa bongofleva walialikwa bungeni Dodoma kwa ajili ya kujionea mambo mbalimbali ikiwemo utendaji kazi wa bunge hilo ambapo baada ya kutoka nje TV ilimnasa Adam Mchomvu aliyeshare na sisi baadhi ya mambo aliyokutana nayo ndani na mengine yakamtia ushamba.
Video yake nimekusogezea hapa….
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment