New Music: Nuruel,Babarhino,Blade Key & Shampain – Maafa Bukoba Listen And Download Here

Wasanii Nuruel,Blad Key (Vinapanda bei)Baba rhino & Shampain, wameamua kutumia vipaji vyao ili kuujulisha umma kwa lile janga la TETEMEKO LA ARDHI lililotokea BUKOBA wameandaa wimbo huu unaitwa “Maafa Bukoba”. Producer Jero Tati, Studio Dreams Records.
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment