>>>’Prof Lipumba ambaye mara kwa mara amesikika akisema kuwa CHADEMA ni wachochezi wakubwa na wanapandikiza mgogoro ndani ya CUF, sikusudii kumjadili Lipumba na nikiendelelea kumjadili nitampa nafasi aliyokuwa nayo zamani’
>>>’Sisi kama chama cha siasa tutaendelea kushirikiana na chama cha wananchi CUF, tutaendelea kuheshimu maamuzi yanayofanyika kwenye vikao halali vya chama cha wanachi CUF, tutaendelea kufanya kazi na wabunge na madiwani wa UKAWA, tunaomba viongozi wote wa CHADEMA wapuuze na wasimpe ushirikiano wowote Prof. Lipumba’;-Mbowe
0 comments:
Post a Comment