VIDEO: Alichokiongea Waziri mkuu Majaliwa leo wakati akielekea Dodoma!

September 30 2016 waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amehamia makao makuu ya nchi Dodoma akitokea Dar es salaam, kabla ya kupanda ndege kuelekea huko Waziri mkuu Majaliwa hakuacha kuwakumbusha watanzania wenye mapenzi mema na waathirika wa tetemeko la ardhi Kagera kuendelea kuwachangia ikiwa ni ishara ya kuendelea kuwafariji.
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment