WEMA Sepetu Afyatuka na Kufanya Maamuzi Haya Magumu Na Kuwaacha Watu Na Butwaa!

Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandal, wema Isaac sepetu, hivi karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumsapoti( team wema) kuanzia Leo waache kwani hawajui na wamekua wakimuaribia sana maisha yake, mrembo huyo aliendelea kutiririka kuwa team hizo zimekua zikimgombanisha na watu wengi na kuwa asilimia nyingi ni wanafiki, hivyo amewaomba wote wanajiita team wema waache mara moja na waanze kutumia majina yao kwenye mitandao ya kijamii.
Bonyeza Hapa Chini Kumsikiliza:
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment