Moja kati ya stahili au njia ngumu ya kufunga goli katika soka ni stahili ya upigaji tiki-taka, sio tu ufundi bali inahitaji umakini mkubwa wa kufunga kwa stahili hiyo pasipo kukuletea madhara kama ya kuumia na kuvunjika kiungo cha mwili wako, ila hatari ya stahili hiyo inafanya magoli ya aina hiyo kuwa na mvuto kuyatazama.
- Facebook Comment
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment