VIDEO: Wizkid alivyoshinda tuzo ya Best Male iliyokuwa ikiwaniwa na Diamond

Ni October 22, 2016 ambapo miongoni mwa wasanii waliongia kwenye headlines ya kuondoka na tuzo zaidi za MTV MAMA 2016 ni Wizkid.Hapa nimekusogezea video ujionee jinsi staa huyo alivyotajwa kuwa mshindi wa tuzo ya Best Male iliyokuwa ikiwaniwa na Mtanzania Diamond Platnumz.
Tuzo hizo zilitoolewa katika ukumbi wa Ticket Pro Dome Johannesburg Afrika Kusini
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment