Ni October 5, 2016 ambapo Shilole anaziandika headlines kwenye Bongo Fleva kwa kuachia video mpya ya single iitwayo Mtoto mdogo aliyomshirikisha mkali wa nyimbo za Singeli maarufu kama Man Fongo. imetayarishwa na director Khalfani.
- Facebook Comment
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment