VIDEO: Team WEMA walivyomsuprise Wema Sepetu kwenye siku yake ya kuzaliwa!

Ni suprise iliyoandaliwa na Team Wema kwenye siku ya kuzaliwa ya mwigizaji Wema Sepetu aliyoifanyika usiku wa kuamkia September 28, 2016 nyumbani kwake Dar es salaam.
Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video hapa uone kilichohappen!
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment