Baada ya
August 31 2016 mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kutangaza kuahirisha
mikutano na maandamano ya UKUTA kwa muda wa mwezi ili kuwapa nafasi
wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini kutafuta suluhu ya jambo hilo
kwa kukutana na Rais Magufuli.
Leo
September 30 2016 imebaki siku moja kufika kwa siku iliyotangazwa kama
mbadala wa siku ya September 01 2016 ambayo ni October 1 2016,
Mwenyekiti wa chama cha maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza
kuahirishwa kwa UKUTA…..
>>>’Kamati
maalumu ya kamati kuu ya CHADEMA imetambua vilevile kutokana na matukio
mengine kadha wa kadha kuwa mapambano ya kisiasa si tukio la siku moja
ni tukio endelevu kwa hiyo tarehe moja October iliyokuwa imetangazwa
kuwa ni siku mbadala baada ya tathimini mambo kadhaa kamati kuu maalumu
imeona kuna umuhimu wa kutokuendelea na maandamo na mikutano nchi nzima
iliyokuwa imekusudiwa kufanyika nchi nzima ili kupisha mbinu zingine
mbadala‘:-Mbowe
0 comments:
Post a Comment