FIESTA 2016 ni jukwaa la burudani linaloendelea kutembea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania likieneza muziki wa bongofleva, kutukutanisha pamoja na kumbukumbu nyingine adimu kutengenezwa kwenye tukio hili.
September 16 2016 ilikua zamu ya Dodoma ambako ni nyumbani kwa kina Ben Pol, unaweza kutazama hii video hapa chini uone ilivyokua.
- Facebook Comment
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment