VIDEO: Jikumbushe TOP 10 ya magoli bora yaliofungwa mechi za ufunguzi wa UCL

Usiku wa Jumatano ya Septemba 28 2016 michuano ya UEFA Champions League hatua ya Makundi itakuwa inachezwa michezo ya round ya pili ya hatua ya makundi, baada ya jana Septemba 27 kuchezwa kwa michezo baadhi ya round ya pili, wakati unasubiria mechi za UEFA za usiku wa Septemba 28 jikumbushe kwa kutazama magoli 10 bora yaliofungwa katika michezo ya round ya kwanza.
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment