VIDEO: Team WEMA Walivyomsuprise Wema Sepetu Stejini!

Ni miongoni mwa mastaa wachache wa Tanzania wenye mashabiki wengi, mwigizaji huyu na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu September 10, 2016 alifanyiwa suprise na mashabiki wake kutokea Dar 88.5 kwa kuja hadi mkoani Tanga kuhushudia show ya Vigoma pamoja na kukata keki stejini.
Itazame hii video hapa uone jinsi ilivyokuwa
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment