Ni Sept 10, 2016 wapenzi na mashabiki wa muziki wa vigoma mkoani Tanga walikutana katika viwanja vya Mkwakwani Stadium ambapo miongoni waliosupport usiku huo wa vigoma ni staa wa Filamu za Tanzania, Wema Sepetu. Itazame hii video hapa ujione jinsi kilivyohappen mtu wangu kwenye usiku wa Vigoma
0 comments:
Post a Comment