Kevin Hart ameonekana kumpokea vizuri Diamond na hata kwenye video Diamond aliyorekodi mchekeshaji huyu alisalimia Tanzania na kumalizia na utani wa utambulisho wa jina lake.
Hii sio mara ya kwanza kwa Diamond kukutana na mastaa wa dunia kwenye safari zake za Marekani, amekutana nao kadhaa akiwemo Nelly na Kanye West, tazama hii video fupi hapa chini.
0 comments:
Post a Comment