Kijana aliyetobolewa macho Buguruni amsimulia RC Paul Makonda ilivyokuwa [+Video]

Sid Ally alikuwa akisimulia tukio hilo mbele ya  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul makonda…’Nilikuwa natoka kazini majiri ya saa nne usiku nikawa nimesimama maeneo ya Buguruni na nunua Kuku kwa ajili ya kupeleka nyumbani ndio alipokuja mtu kwa nyuma yangu na kuomba nimsaidie
Baada ya muda yule mtu akanichoma kisu kwenye bege langu nikawa na piga kelele watu wanisaidie lakini sikupata msaada pale watu wote walikuwa wananiangali tu‘>>>Said Ally
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment