VideoMPYA : Baraka The Prince na Alikiba wametuletea video yao mpya!

Ni Single mpya iitwayo Nisamehe ambayo ilirekodiwa April 27, 2016 kwenye studio za producer Emma The Boy  na wakali kutoka kwenye label ya Rockstar 4000 Baraka The Prince na Alikiba.
Sasa leo kupitia kwenye ukurasa wa instagram wa Alikiba aliwasuprise mashabiki wao baada ya kuachia video mpya ya single hiyo iitwayo Nisamehe.
kibasss
Ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment