Moja kati ya couples zinazoongelewa sana
kwenye mitandao ya kijamii huwezi kuacha kulitaja penzi la mastaa
wawili kutoka kiwanda cha Bongomovie (Jackline Wolper) na kutoka kiwanda Bongoflevani (Hamonizer) leo October 22 2016 Diamond Platnumz amble ni C.E.O wa lebel ya WCB ametoa comment yake kuhusu mapenzi ya msanii wake na mrembo Jackline Wolper.
‘Sisi
kama WCB tuna simamia kazi za Harmonizer muziki wake na brand yake
laking ukija kwenye mahusiano yake anajisamima mwenyewe, na huwezi
kumkataza mtu kwa sababu kila binadamu anamahamuzi yake katika mahusiano
sisi tunachoangalia ni kuwa anaheshimu muda wa kazi, lakini maswala ya
mahusiano nadhani yeye anajua anachokifanya‘>>>>Diamond Platnumz
0 comments:
Post a Comment