Ni October 22, 2016 ambapo utoaji wa tuzo za MTV MAMA 2016 ulifanya katika ukumbi wa Ticket Pro Dome huku miongoni mwa watanzania walioshiriki kutoa tuzo hizo alikuwa mshindi wa Big Brother 2014, Idris Sultan aliwatangaza Sauti Sol kuwa washindi wa tuzo ya Best Group iliyokuwa ikiwaniwa na Navy Kenzo.
- Facebook Comment
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment