Huwezi Amini! Maisha Anayoishi Mwanamuziki Aliyewahi Kutamba Miaka ya Nyuma SAIDA KALORI Yanasikitisha Sana!

Ni kwa sababu licha ya kufanya vizuri kimuziki miaka kadhaa iliyopita, hakupata chochote na bado anaishi katika mazingira magumu.

“Niliumizwa kuanzia mwanzo, ni vitu vichache nilivyovipata, kama mkibahatika waandishi wa habari wenye makamera na wakija kwangu watashuti kulingana na nilivyo, wataona mazingira ninayoishi ndipo watanzania watazidi kufunguka zaidi,” Saida alimwambia mtangazaji wa Jembe FM, Natty E.

Kwa sasa Saida Karoli anaishi jijini Mwanza. Hivi karibuni amerejea tena kwenye midomo ya watu baada ya Diamond kurudia wimbo wake Salome.
Msikilize hapo chini.
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment