>>>’kuna jamaa alikuja akasimama begani kwangu akasema kaka nina shida nikamwambia sema haraka nataka kuondoka akakaa kimya nikawaangalia wauza kuku labda kama wanamjua huyo jamaa nikaona kuna mtu anamnong’oneza muuza Kuku nikawaza hata kama ni mwizi hapa mbele ya watu hawezi kunifanya kitu’
>>>’hata sijakaa sawa nikashtuka nachomwa Visu vingi sana vya mgongo na tumboni huku wauza Kuku wanaangalia tu akaniangusha akachukua hela laki tatu nikiwa nimepoteza fahamu akanisogeza barabarani akanitoboa macho.
Kusikiliza full story unaweza kubonyeza play hapa chini
0 comments:
Post a Comment