Baba mzazi wa mwanasoka Mrisho Ngassa mzee Khalfan Ngassa, amekubali kufanya exclusive interview kwa ajili ya kuzungumzia soka na vitu kadhaa kuhusu mtoto wake Mrisho Ngassa, mzee Khalfan Ngassa amekubali kuzungumza maamuzi ya Mrisho Ngassa katika soka ambayo yamewahi kumfurahisha.
“Maamuzi aliyowahi kufanya sahihi katika soka ni alipoamua kurudi Yanga akitokea Simba, hayo ndio maamuzi aliyowahi kufanya sahihi zaidi kwa sababu inaeleweka anaipenda kwa dhati Yanga, tofauti ya hayo sijawahi kuona maamuzi sahihi ya soka aliyowahi kufanya nikapenda” Cheki video ya interview hiyo hapa!
0 comments:
Post a Comment