New Video: Drake – Childs Play

Rapper Drake ameachia video mpya ya wimbo “Child’s Play,” kutoka kwenye album yake ya Views.
Drake amesaidia kuongoza hii video, pia katika hii video ameonekana mwanamitindo maarufu Tyra Banks ambaye ameigiza kama mpenzi wake.
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment