Tazama Vibonzo sita vya utani wa SIMBA na YANGA kabla ya mechi yao ya October 1

Jumamosi ya October 1 2016 mashabiki wa soka Tanzania watapata nafasi ya kutazama mchezo wa derby kati ya Simba na Yanga, kwa mujibu wa baadhi ya mitandao wanasema derby hiyo ni moja kati ya derby kubwa Afrika.
 Kuelekea mchezo huo naomba nikusogezee katuni au vibonzo maarufu vinavyopendwa kutumiwa na mashabiki wa timu hizo mbili, kupigana vijembe au kutambiana mitandaoni.



Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment