Lakini kwa sasahivi imekuwa kimya na inaonekana kila mtu anafanya issue zake na hii imeleta utata kwa mashabiki kuhisi kuwa labda kuna beef kati yao ama vipi, Camera zetu zimeweza kumpata manager wa Diamond Platnumz, Babu Tale na haya ndio yalikuwa majibu yake…
>>>’Sijawah kuwaona hivi karibuni labda kwa sababu kila mtu mmoja anapiga issue zake lakini me na Ommy tulisafiri wote na Naseeb mpaka Uingereza na tukafanya video ya BamBam sijawahi…’
0 comments:
Post a Comment