
Mzee Ngassa amekubali kueleza experience yake katika soka katika kipindi wao wanacheza walikuwa wanafanya mambo ya kishirikiana katika soka, wanaamini iliwahi kuwasaidia?
“Hayo mambo yalikuwepo na hadi sasa hivi bado yanaendelea katika soka letu, sisi wakati tunacheza yalikuwepo unakuta mganga anakuja anawapakapaka madawa halafu mnapanda gari anawaambia msiongee na mtu halafu mnafungwa, kwa hiyo hizo imani zipo”
0 comments:
Post a Comment